Map - Choropleth by Avg Project Progress

Avg Progress Trend (wards loaded)

Projects per Region

Ofisi ya Waziri Mkuu – Majukumu, Dira na Dhima

Majukumu Makuu

Ofisi ya Waziri Mkuu ndiyo kiungo kikuu cha uratibu wa shughuli za Serikali. Inaratibu utekelezaji wa mipango ya maendeleo, usimamizi wa maafa, uratibu wa shughuli za Bunge, usimamizi wa kazi za Serikali za Mitaa, na ufuatiliaji wa utekelezaji wa miradi na utoaji wa huduma kwa wananchi.

Dira (Vision)

Kuwa Ofisi kinara katika uratibu, usimamizi na ufuatiliaji wa shughuli za Serikali kwa ufanisi, uwazi na matokeo chanya yanayogusa maisha ya wananchi wote.

Dhima (Mission)

Kusimamia na kuratibu shughuli za Serikali kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha ushirikiano, uwajibikaji, maendeleo shirikishi, na ustawi wa wananchi kwa ujumla.

Project Name Region Ward Status Progress (%)

Disasters Happened

Disaster Type Region Ward Deaths Injured